joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Soma historia ya nchi yetu kuanzia 1967-1985Acha uongo na uzandiki. Lini Tanzania tulitengwa na mataifa ya magharibi??? Halafu unavijua vikwazo wewe??? Muulize Zimbabwe atakueleza vizuri nini maana ya vikwazo.
Serekali hii ndio wanalazimisha tuchezee kibano kwa nguvu zote.
Tanzania iliwekewa vikwazo vya chini kwa chini (miaka hiyo Tz ilikuwa ina nguvu kweli kweli ya ushawishi)Acha uongo na uzandiki. Lini Tanzania tulitengwa na mataifa ya magharibi??? Halafu unavijua vikwazo wewe??? Muulize Zimbabwe atakueleza vizuri nini maana ya vikwazo.
Serekali hii ndio wanalazimisha tuchezee kibano kwa nguvu zote.
Kampuni gani hio? Kampuni hewa?US Company Exits Kenya, Moves to Zambia 5 Months After Opening Nairobi Shop
Zambia ni miongoni mwa nchi tano zilizokua mstari wa mbele katika ukombozi kusini mwa Africa, zikiongozwa na Tanzania, nchi hizi zote zilikua zimetengwa na nchi za kimagharibi na kuwekewa vikwazo vingi vya kibiashara na wazungu, vipi leo tena wazungu wanamkimbia mshirika wao mkubwa na kukimbilia Zambia?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani TZ ni makalio ya SADCHawajahamia Magufulistan, ambayo huwa tunaamishwa kwamba ndio kitovu cha SADC? 😀
Zambia na Tanzania are twin brothers, we Share even our wivesHawakuhamia Dangawonderland..The land of milk and honey?
Pwahahahaaa...I didn't know a stupid Dog looks like you
Lini Zambia iliwekewa vikwazo?US Company Exits Kenya, Moves to Zambia 5 Months After Opening Nairobi Shop
Zambia ni miongoni mwa nchi tano zilizokua mstari wa mbele katika ukombozi kusini mwa Africa, zikiongozwa na Tanzania, nchi hizi zote zilikua zimetengwa na nchi za kimagharibi na kuwekewa vikwazo vingi vya kibiashara na wazungu, vipi leo tena wazungu wanamkimbia mshirika wao mkubwa na kukimbilia Zambia?
Sent using Jamii Forums mobile app
Soma historia ya Uhusiano wa Zambia na Tanzania, kuanzia "Mulungushi club" hadi "Frontline states", TAZARA, TAZAMA na hadi SADC.Pwahahahaaa...I didn't know a stupid Dog looks like you