Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mtu alishaielezea humu ila sikumbuki ilikua post gan!! anza na hizi may be utapata kitu...Wadau samahani naombeni mnisaidie kampuni kuwa limited inatakiwa iwe na nn
Na tofauti kati ya kampuni ambayo ni limited na kampuni ambayo sio limited
Kwanini unapoteza muda kuandika ujinga kama huu?Inatakiwa iwe na mademu wakali na bomba sana wa kichaga!
Itakuwa umri/mazingira yake vinaruhusu hali hiyo.Kwanini unapoteza muda kuandika ujinga kama huu?
Tungoje akina Chasha Poultry Farm waje tupe mwongozoINGEKUWA NI HABARI YA NGONO SASA HIVI TUNGEKUWA TUNAELEKEA PAGE YA 20.JAMANI WATAALAMU WAMSAIDIE AMEULIZA SWALI ANATAKA MSAADA
sawa kabisa! OKWI SUNZU BOBAN Sheria haipandi kwa hili au sharia zetu tunazojua ni za kumuongezea Rais miaka 7 tuTungoje akina Chasha Poultry Farm waje tupe mwongozo
Kwanini unapoteza muda kuujibu ujinga kama huu?Kwanini unapoteza muda kuandika ujinga kama huu?
what is memorandum and trustee boardBoard of Directors
Trustee Board
Company profile
Company memorandam
Name of Company