HABARI YA MOTO MOTO NI KWAMBA KUNA KAMPUNI MOJA YA SIMU KUPITIA WAFANYAKAZI WAKE WASIO WAAMINIFU WANAJARIBU KU HACK SIMU YA SUGU
HAYO YAMETOLEWA NA SUGU MWENYEWE KUPITIA MTANDAO WAKE WA FACEBOOK NA KUTISHIA KUWA SUE KWA LAWYER WA KIMATAIFA NA KUSISITIZA KUWA YUKO SERIOUS KAMA ANAVYOSEMA HAPO CHINI
Uoga huo.
Joseph Mbilinyi
‎...i hear some corrupted employees r helping some people to hack my phone...beware phone company,coz im gonna sue u with a foreign lawyer whom u cant corrupt...im serious!!!
Daah halafu Kiingereza cha mbunge hicho? Si angeandika Kiswahili tu. Aibu tupu kuwa na wabunge sampuli hii.
Daah halafu Kiingereza cha mbunge hicho? Si angeandika Kiswahili tu. Aibu tupu kuwa na wabunge sampuli hii.
Ndio maana hatuendelei
lkn sikaeleweka ww unataka aandike kama anajbu mtihan.
hujamuona kikwete akipiga soga na obama huku anakibuti..acheni ujinga kizungu si lugha ya taifa...
kiingereza sio cha kukufanya uendelee carlos slim tajiri namba moja duniani hajui english vizuri anajua spanish
swahili sugu ndio lugha yake english ni option language jamani msiwe watumwa khaaaaaa
hujamuona kikwete akipiga soga na obama huku anakibuti..acheni ujinga kizungu si lugha ya taifa...
suala la yeye kujua au kutokujua kiingereza kama mheshimiwa sio suala eti kisa bungeni wanatumia lugha ya kiswahili na kingereza hata kama hajui kiingereza na siku hiyo wakitumia lugha ya kingereza atapewa kifaa cha kutafsiri huoni kwenye mikutano mikubwa ya ma rais mbali mbali wakiwa hawajui english wanapewa machine maalum ya kutafsiri kwa lugha yao au wewe ulifikiri ni nini wanasikiliza mziki lolhatongelei kizungu hapa, tunaongelea kiingereza alichotumia mheshimiwa, kumbuka bungeni zinatumika lugha mbili, kiingereza na kiswahili.
Daah halafu Kiingereza cha mbunge hicho? Si angeandika Kiswahili tu. Aibu tupu kuwa na wabunge sampuli hii.
Ndio maana hatuendelei
Daah halafu Kiingereza cha mbunge hicho? Si angeandika Kiswahili tu. Aibu tupu kuwa na wabunge sampuli hii.
Hana haja ya kutumia lugha asiyoijuwa vizuri ndio maana tukasema atumie Kiswahili, huyo tajiri uliyemtaja hutamuona akitumia lugha asiyoijuwa sawasawa, ni nini kilichomfanya huyu Mheshimiwa kuandika lugha asoyoijuwa sawasawa?