Wakuu naomba kujua gharama za kuanzisha kampuni ya 1. SIMU 2. SOLAR 3. ELECTRONICS (RADIOS/TVS)-(Initial capital investment). Pia location ipi itakuwa ni nzuri kwa office. Na ni kipi kati ya hizo products kinamove faster? Ni kampuni siyo duka tafadhari, muhimu. Nawasilisha.