Kampuni mpya ya kuajiri imefunguliwa


kazi gani haswa mlizonazo jamani mi nshatuma cv yangu kwenu
 
TUNAKUSHUKURU DADA sUZAN KAMA TULIVYOONGEA TUTAONANA KESHO,WATANZANIA WOTE SEHEMU YOYOTE ULIYOPO TUNAKUKARIBISHA SIO LAZIMA UJE DAR-ES-SALAAM ,TUTAKUFANYIA INTERVIEW KWA KUTUMIA SKYPE ,UNACHOTAKIWA KUFANYA WEWE NI KUTUMA CV YAKO KWETU SISI TUTAWASILIANA NAWE NA KAMA UKO NJE YA DAR TUTAKUINTERVIEW HUKO ULIPO NA KUPELEKA CV YAKO KWA WATEJA WETU NA WEWE UTAPATA AJIRA MARA MOJA

Karibuni nyote
 
Nashukuru kwa simu kesho nitakuja ofisini kwenu,mko faster;;;

Nyie wachaga wapuuzi kweli kweli! Yaani mmenichekesha nusura nifunje mbafu zangu.

Juha wa Kwanza anatangaza kazi zisizojulikana, anajifanya bonge la agent na kwamba very quick in response.

Juha wa pili anajifanya ametuma CV (16:52) halafu dakika 1 tu inayofuata (16:53) tayari ameshapigiwa simu kwa hiyo anshukuru. Hivi hata kama ndio ujanja ujanja, mbona msitumie akili hata kidogo?

Recruitment Agent na e-mail ya gugo kweli?!

Labda nimiulizeni tu, hizo CV za watu mnataka kuzifanyia nini jamini?
 

Wewe dogo utafungwa wewe ohooo! Kama Suzan mlishaongea kwenye simu una haja gani ya kuleta mlolongo wa ngonjera hapa. Kiukweli mmevamia fani za watu, utapeli haufanywi hivyo. Njoo nikufundishe step by step namna ya kumuingiza mtu kingi, hii namna yako utaumbuka sasa hivi mbele ya Kova
 

Ama kweli mjini shule.
 
hahahaaa... umeingia chaka man... hii ni jf
 

mboni ujataja hiyo ofisi ipo wapi au ndio wale maajenti tokea china..
 
watu hawana huruma m2 ana hassle ajira apate nauli wabongo wanataka kumnyonya hata ile chenji ya kununulia gazeti. yaani Patakazi sijui na Suzan Nani ni m2 huyo huyo. yale yale ya mzungu na madawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…