Nani alitulaani sisi watu weusi? Kwanini tunaendekeza ushenzi wakati mwingine bila sababu za msingi?
Neno 'ushenzi' ni kinyume cha neno ustaarabu.Tumeshindwa kuwa wastaarabu katika vitu vilivyo ndani ya uwezo wetu kwa maksudi tu.
Nimesikitishwa na madai kwamba eti ni kawaida kwa kampuni za kibiashara kulimbikiza madai ya watumishi na mara wapatapo huyalipa yote ndio sababu wachezaji wa Simba wanadai na kwamba watalipwa mara pesa inapopatikana!
Mi nasema huu ni uhuni ulio wazi.Lipeni madai ya watu kwa wakati.Kama hamna uwezo jitoeni kwenye kutengeneza madeni pasipo sababu.
Nasema ni uhuni kwa sababu ni nyie nyie Simba mlikataa udhamini wa Azam kwa kujifanya wajuaji eti hela kidogo.Kama ndivyo kwa nini mnachelewa kulipa wachezaji?
Msemaji anaposema Azam wamewazidi ubora,anazungumzia ubora upi?
Wakati mnawafunga yanga ubora wenu ulikuwaje?Au basi wakati mnawafunga Wydad ubora wenu ulikuwaje hadi mje kwa Azam na kusema mnazidiwa ubora na Azam?
Sisi nywele ngumu tuna shida gani hadi tuwe na ushenzi wa kila namna?