Kampuni/Wesites /Sites/Project zinazolipa zaidi

ejucator

Member
Joined
May 7, 2017
Posts
8
Reaction score
6
Habari ndugu zangu?
Karibuni kwenye mjadala pekee ambao utapata faida ya kupata kufahamu mahali pa kuanzia ili uongeze ama upate faida mtandaoni.
Hizi ni sehemu zenye faida kubwa
1. www.oneskul.com
Movies mpya, sites za pesa na games
Nyingine zinakuja
2. @ForexBinaryAccountManager
Telegram channel yenye kila faida na elimu ya biashara
 
Huyo forexbinarry manager ndio nani mkuu
nilimpata telegram akanipa maujuzi kiaina. ukifungua telegram jiunge na channel yake ni bure kabisa na nimbongo ingawa ameandika kingereza ila unaweza kumuuliza chochote bure
 
2. @ForexBinaryAccountManager
Telegram channel yenye kila faida na elimu ya biashara

Ukisema ni wewe kwani kuna shida gani mkuu...

Channel umeianzisha juzi tarehe 4 Desemba 2019.

Hongera kwa kuipa promo, ushapata subscribers 107 hadi sasa si haba
 
Ukisema ni wewe kwani kuna shida gani mkuu...

Channel umeianzisha juzi tarehe 4 Desemba 2019.

Hongera kwa kuipa promo, ushapata subscribers 107 hadi sasa si haba
wabongo bhana!!! Nikimaind utatafuta kingine cha kuongezea. I have channels kibao na nna subscribers now zaid ya 10k na nafanya promo za kila aina na sio siri.. but if something is not mine i can never say it is mine. That is not who i am. I have carding, hacking, VPNs and more and more but people do promo for me and i just have to tell people what is happening.. And again sio siri boss.
 
Kila la kheri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…