Kampuni ya Advertising agency

Kampuni ya Advertising agency

Kipaji Halisi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2012
Posts
2,280
Reaction score
1,363
Wana jamvi baada ya kufanya kazi ya kuajiliwa kw muda Nina mpango Wa kufungua kampuni ya matangazo...

Naomba mwenye kujua biashara hii...changamoto zake... na pia ufunguaji wake...

Nawasilisha
 
naweza kukusidia kuhusiana na ufunguaji wake,tembelea profile yangu ,kisha ukihitaji huduma yangu nitafute, nipo Dar
 
Mkifungua tupeane ajira mkuu,mi ni mkali sana wa Graphics.Nimefanya sana Graphics za mabango,biashara inalipa sana hasa ukiwa na uhakika wa kupata tenda,yaani huku unapiga kazi za Wateja wa kilasiku pemben unakuwa na tenda yako hata Wateja wasipokuja unakuwa na uhakika wa kupiga hela.
 
But inawezekana matangazo uliyomaanisha wewe sio niliyomaanisha Mimi ila kama ni ishu za printing zinalipa.My no 0717995793
 
Nataka nifanye printing pamoja na redio jingles and tvc

Duh basi inaonekana umejipanga sana maana nahisi mtaji wake si wa kitoto hapo,mfano mashine za printing 'large format' nasikia bei zake ziko juu,sijui huko kwenye jingles
 
Duh basi inaonekana umejipanga sana maana nahisi mtaji wake si wa kitoto hapo,mfano mashine za printing 'large format' nasikia bei zake ziko juu,sijui huko kwenye jingles

Usiogope printing nachukua tenda kazi naweza peleka jamana,DTP au delfina...ila jingles no studio...cz mie nitabezi ktk content ya mteja..
 
Usiogope printing nachukua tenda kazi naweza peleka jamana,DTP au delfina...ila jingles no studio...cz mie nitabezi ktk content ya mteja..

Hapo sawa na ndivyo wengi wanafanya,kuna kampuni za wachina wako cheap.Nimefanya sana hizo kazi kwa kujiegesha kwenye ofice ya mtu,nilikuwa napeleka kuprint kazi zangu kwenye kampun inaitwa Bomei.Vp kuhusu Wateja,kuna sehem unategemea tenda ama?
 
ukiacha kuzitafuta tenda... ila pia namatumaini sehemu ya kupata...inshalah
 
Back
Top Bottom