Kipaji Halisi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 2,280
- 1,363
naweza kukusidia kuhusiana na ufunguaji wake,tembelea profile yangu ,kisha ukihitaji huduma yangu nitafute, nipo Dar
But inawezekana matangazo uliyomaanisha wewe sio niliyomaanisha Mimi ila kama ni ishu za printing zinalipa.My no 0717995793
Nataka nifanye printing pamoja na redio jingles and tvc
Duh basi inaonekana umejipanga sana maana nahisi mtaji wake si wa kitoto hapo,mfano mashine za printing 'large format' nasikia bei zake ziko juu,sijui huko kwenye jingles
Usiogope printing nachukua tenda kazi naweza peleka jamana,DTP au delfina...ila jingles no studio...cz mie nitabezi ktk content ya mteja..
Hapo sawa na ndivyo wengi wanafanya,kuna kampuni za wachina wako cheap.Nimefanya sana hizo kazi kwa kujiegesha kwenye ofice ya mtu,nilikuwa napeleka kuprint kazi zangu kwenye kampun inaitwa Bomei.Vp kuhusu Wateja,kuna sehem unategemea tenda ama?
Ulifanikiwa?