babu M
JF-Expert Member
- Mar 4, 2010
- 5,222
- 3,173
Kampuni ya Apple ina mpango wa kuingia ubia na Kampuni ya Hyundai ya South Korea. Kuanza kutengeneza magari ya umeme yanayojiendesha bila dereva.
Lakini Apple pia bado ipo kwenye mazungumzo na makampuni mengine ya magari jinsi inaweza kuingia ubia nao!
Hii ni big blow kwa kampuni kubwa ya magari duniani kwa thamani(Mcap) Tesla. Ambayo share yake imepanda kutoka $190 mwanzoni mwa mwaka jana mpaka zaidi ya $4000( without split) sasa hivi na kumfanya Elon Musk kuwa tajiri mkubwa wa kwanza.
Tesla imepata umaarufu kutoka na technologia yao ya betri ambayo Apple wapo keen kuja na technologia yao tofauti!
Uhamuzi huu wa Apple umechangia thamani ya hisa za kampuni ya Hyundai kuongezeka kwa asilimia 25 kabla ya stock market kufungwa Friday!!