Kweli Kampuni hii imejipambanua katika kuzalisha vyakula kwa matumizi ya binadamu ulimwenguni.Wakati nikiwa Uholanzi/Amsterdam niliweza kukutana na bidhaa km unga, biscuits nk zenye nembo ya Azam/Bakhresa Tz.Nilifurahi na kupongeza juhudi za mwekezaji mzawa.
Tofauti na nilivyotarajia kuona nikiwa hapa Tanzania ni kuona usafirishaji, upokeaji na uhifadhi wa malighafi ya matunda km maembe, machungwa nanasi, ukwaju nk hapo Kiwandani Mwandege Wilaya ya Mkuranga.
Shehena za matunda zinaozea kwenye magari yangojeao kuingia ndani. Harufu mbaya, mainzi, mafunza yametapakaa. Yanatia kinyaa sana. Hali hii inahatarisha afya za walaji. Kwa machache boredsha huduma zenu