Kampuni ya Bakhresa inajishusha hadhi

Kalia ujinga wako huohuo nenda kaangalie mashamba ya matunda huko ujifunze
Rwanda ni nchi ya milima na mabonde,ndiyo maana wanang'ang'ania Congo mashariki wapate pa kulima,nchi yenyewe ukubwa wake ni nusu ya mkoa wa tabora,hayo maeneo ya kulima mahindi,mpunga,mananasi,machungwa nk wanatoa wapi!?..
 
Umaskini mbaya sana ndo chanzo cha chuki ,Mara ooh sio matunda halisi ,mara yanaozea .

Kwa taarifa yako yanayooza yanatupwa na no hasara juu yao ...laiti kama wangekuwa wanayatumia juisi zingkuwa ovyo Kwa namna moja au nyingine.

Huwezi kushushwa brand ya mtu kwa propaganda uchwara.Mtu uliyeshindwa hata kwua na blender kwako uje hapa kupiga kelele
 
Ndio ukiwa pale mwandege ni hatari sana inanuka kama mavi na maembe kwa kunuka soo,sema huwa wanayachemsha sana kabla ya kuyasindika

USSR
 
ni kweli kama ni hivyo asipuuzie ushauri huu hata kidogo. uzi huu umenipa faraja kidogo kwamba kumbe kweli wanatumia matunda og kuzalisha hizo bidhaa zao maana kuna uzi niliona humu juzi tu unashutumu azam kwa kudanganya kwamba anatumia matunda og, kumbe anatumia flavours tu
 
Kwa kawaida matunda ya juisi huwa ni aina moja pekee, sasa pale anapelekewa aina tofauti tofauti, zilizoiva wakati tofauti.

Kati ya bidhaa ambayo haina mambo mengi ni Sukari, maana yenyewe huvunwa kwa muda na hupandwa kwa muda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ