Kampuni ya bet yaendelea kumshawishi shabiki wa Leicester city twitter

Leicester haitokua bingwa.
Kichapo kinaanzia old Trafford,
Kitafuata na Chelsea
Then na Everton.
Halafu Tottenham atashinda zote na kuchukua ubingwa.
C
Save this post

Hii post tumeisave vp!! Mkumbuke kuwa na akiba ya maneno
 
Leicester haitokua bingwa.
Kichapo kinaanzia old Trafford,
Kitafuata na Chelsea
Then na Everton.
Halafu Tottenham atashinda zote na kuchukua ubingwa.
C
Save this post
pole xana leceister ashachukua pl league baada ya dro ya spurs acha ndoto za mchana
 
Leicester haitokua bingwa.
Kichapo kinaanzia old Trafford,
Kitafuata na Chelsea
Then na Everton.
Halafu Tottenham atashinda zote na kuchukua ubingwa.
C
Save this post
[emoji57] [emoji39] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] dumb dumb
 
Leicester haitokua bingwa.
Kichapo kinaanzia old Trafford,
Kitafuata na Chelsea
Then na Everton.
Halafu Tottenham atashinda zote na kuchukua ubingwa.
C
Save this post

Hata sijui kwanini nimeshawishika kukuita usome tena maandiko yako; ukichukulia mimi sio mshabiki wa Leicister kabisaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
dah jamaa kwa hiyo jana kapata utajiri?
 
Na mimi naamini katika hisia za moyo wangu ambazo zinaniaminisha kuwa Manchester City atafika fainali ya UCL na kuchukua ubingwa SAVE THIS POST
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…