Bolt wapo vizuri kwa kuchukua hatua ,ukireport tu dereva lazima apate haki yake ya kikatiba.Kampuni ya Bolt imemmsitishia huduma dereva mmoja jijini Dar es Salaam kufuatia malalamiko ya abiria aliyedai kufanyiwa fujo na udanganyifu akiwa safarini.
View attachment 3682486
Abiria huyo alieleza kwenye video kuwa alikodi usafiri kutoka Pugu kwenda Oysterbay kwa Sh14,000, lakini dereva alimaliza safari kwenye mfumo (trip ended) kabla ya kufika, kisha akaanza kuwa mkali akitaka alipwe fedha yake.
Pia alibaini namba ya malipo ilikuwa na jina tofauti na dereva aliyesajiliwa kwenye programu hiyo.
Bolt imesema imechukua hatua ya kumpumzisha dereva huyo kupisha uchunguzi wa kina ukishirikiana na mamlaka husika.
Government Of The PeoplesBolt wapo vizuri kwa kuchukua hatua ,ukireport tu dereva lazima apate haki yake ya kikatiba.
AtafutweKampuni ya Bolt imemmsitishia huduma dereva mmoja jijini Dar es Salaam kufuatia malalamiko ya abiria aliyedai kufanyiwa fujo na udanganyifu akiwa safarini.
View attachment 3682486
Abiria huyo alieleza kwenye video kuwa alikodi usafiri kutoka Pugu kwenda Oysterbay kwa Sh14,000, lakini dereva alimaliza safari kwenye mfumo (trip ended) kabla ya kufika, kisha akaanza kuwa mkali akitaka alipwe fedha yake.
Pia alibaini namba ya malipo ilikuwa na jina tofauti na dereva aliyesajiliwa kwenye programu hiyo.
Bolt imesema imechukua hatua ya kumpumzisha dereva huyo kupisha uchunguzi wa kina ukishirikiana na mamlaka husika.
Atafutwe dereva na yeye atoe maelezo yakeKampuni ya Bolt imemmsitishia huduma dereva mmoja jijini Dar es Salaam kufuatia malalamiko ya abiria aliyedai kufanyiwa fujo na udanganyifu akiwa safarini.