Kampuni ya Cardealpage Ltd

diwan

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2012
Posts
308
Reaction score
114
Habari wanajamvi, jamani katika harakati za kutafuta gari nimeiona kampuni yenye jina hapo juu ambayo ipo Japan. Kwenye webpage yao nimeona wanauza gari ambayo kwa kweli nimeipenda kutokana n'a mahitaji yangu.

Sasa hofu yangu ni juu ya Uzoefu na uhalali wa hii kampuni kwa sababu kwangu mimi ni ngeni kabisa, pia baada ya kujaza fomu online walinitumia Profoma Invoice n'a kunipigia, lakini niliwazlekeza kuwa kwanza naomba wanijulishe kama wana Wakala wao hapa Tz. Walinitumia détail za wakala wao ingawa naona huyu.wakala wao mara hapatikani kwenye simu, inshort hayupo active kufanya follow up kama Wale jamaa zake wa Japani wanavonisumbua.

Ombi langu kwenu ni kwa yeyote aliyewahi fanya biashara n'a hii kampuni, nisije nikaingizwa mjini.

Waiting for your reply.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…