Hello wanajamvi!,
Natafuta kampuni ya kununua ya freight forwarding and clearing,Nahitaji kuinunua nikiwa kama dalali.
Ningependa kujua taarifa kama zifuatazo:-
Ina patikana wapi?
Ina muda gani kazini?
Inaitwaje?
Inafanya kazi kwa sasa?
Je haina migogoro yoyote ikiwemo madeni?
Shukrani kwenu wana jamvi naomba kujuzwa tafadhali.