Kampuni ya DECI ipo wapi?

AfricaUnited

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2010
Posts
2,367
Reaction score
1,293
hiv ile kampuni ya kifedha ya DECI YA KUPANDA NA KUVUNA ILIISHIA WAPI.nimeulizwa na ndugu yangu.
 
hiv ile kampuni ya kifedha ya DECI YA KUPANDA NA KUVUNA ILIISHIA WAPI.nimeulizwa na ndugu yangu.

Bado ipo, ila ipo mahakamani, wakishinda kesi yao itarudi kwa kasi ya ajabu, hasa ukizingatia kuwa uwezo wa kufikiria unazidi kupungua kwa sababu ya ugumu wa maisha.

Kwa ufupi ni kwamba deci inabadirisha sura kila siku, nyingine ndio hizo za chekundu na cheupe mitaani, na nyingine nyingi za jamii hiyo.
 
Kunanyingine imekuja, nimesikia wenzangu ofisi wakiiongelea ina husu sana user wa android. Wanasema unaadi watu wawili alafu na wao wana add wawili kila mmoja kisha na kuendelea alafu wewe unakula faida kwa kila addition. Sikutaka kuendelea kusikiliza kwa kuwa nilijua ni utumbo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…