Kampuni ya Gardaworld imetangaza nafasi za kazi kwa madereva

G4S ndiyo inauzwa
haiuzwi nazani muda sio mrefu wataungana na garda..kutakuwa na muunganiko wa pia wa SGA...kujiunga na garda kampuni pekee itakayo kuwa inaoneana ni GARDAWORLD...na sio kwamba wanauziana kampuni..nop...bali ni muunganiko tu wa kibiashara ambao utendaji na mikataba ya kila kampuni unabaki vile vile
 
Ubarikiwe sana kiongozi,Huu ndio utofauti wa Jamii forum na social media zingine
 
Inamaana vitendea kazi vinakua na lebal gani?
 
Hizi kampuni zinakuja kwa kasi sana na kunyima kampuni za ndani tender za ulinzi, serikali iangalie kwa jicho la tatu mishaara huko ni midogo ili hali wao wanapata pesa nyingi kupitia wewe
Kabisa mkuu
Yaani ni wanyonyaji wakubwa
Hawa nawafananisha na new kolonialism
 
Ukiwa mbirikimo usiende. Kitu cha kwanza unapimwa urefu kwanza.
 
Sema Hawa watu wanadhambi Sana gardaworld ya marekani na Huku nitofauti kabsa Huku kwetu wanawabinya wafanyakazi at the maximum mishahara midogo mno
 
Sema Hawa watu wanadhambi Sana gardaworld ya marekani na Huku nitofauti kabsa Huku kwetu wanawabinya wafanyakazi at the maximum mishahara midogo mno

Jaribu kulinganisha kada zote za ajira uone kama ni kwenye hiibsekta pekee ndio wamekandamizwa.

Chunguza waalimu, askari, wanajeshi, wataalam wa IT na fani nyingine wa USA kama wanalipwa sawa na wakwetu.
 
Inamaana hawa waligoma kuchukuliwa na GardaWorld awali?

Nakumbuka hawa jamaa walikomba kampuni nyingi za ulinzi kiwepo Ultimate Security, walishindwana kwenye maslahi na SGA ambae ndio amebaki kuwa mpinzani wao mkuu.
Hata G4S walishindwana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…