Mlundilwa Jr
JF-Expert Member
- Dec 11, 2019
- 3,187
- 4,857
Wanakauli mbiu yao kwamba wakikulipa palefu utawakimbia na kwenda kuanzisha biasharaSema Hawa watu wanadhambi Sana gardaworld ya marekani na Huku nitofauti kabsa Huku kwetu wanawabinya wafanyakazi at the maximum mishahara midogo mno
kwa technolojia iliyopo huwezi kukosa leaving...sasa academy umekipata wapi...?Mtu akiwa na cheti Cha form4 bila leaving haajiriwi why
usidanganye wenzako...kwa mfano hii garda kuna watu wanalipwa hadi 1m na ni walinzi tu wakawaidaWanakauli mbiu yao kwamba wakikulipa palefu utawakimbia na kwenda kuanzisha biashara
Wanataka wakunyonye ili waendelee kukutumikisha, Tena zile za local Wanawachelewesha mishara yaani unakuta Hadi tareh 17 ya mwezi mwingine hawajalipwa kwa hari kama hiyo demu au mkeo atashindwa kukuacha kweli.
ndio unakopesheka kabisaMkuu ukiwa kwenye hii kampuni unaweza kopesheka bank Kama mfanyakazi .......
Na kupata mkopo wa million hata 2
dah mkuu wewe ni Muongo wa kimataifa.Wanakauli mbiu yao kwamba wakikulipa palefu utawakimbia na kwenda kuanzisha biashara
Wanataka wakunyonye ili waendelee kukutumikisha, Tena zile za local Wanawachelewesha mishara yaani unakuta Hadi tareh 17 ya mwezi mwingine hawajalipwa kwa hari kama hiyo demu au mkeo atashindwa kukuacha kweli.
kweli kabisa na stanbic nao walikuwa wnakopesha zaidi ya m2...kulingana na mshahala wako ila kwa sasa wamesitisha...dah mkuu wewe ni Muongo wa kimataifa.
mm nimefanya kazi GardaWorld, hakuna ucheleweshaji wa mishahara hata siku 1.
mishahara inapokelewa mapema sana, wakati mwingine siku 2 kabla ya mwisho wa mwezi.
Na unapewa SALARY SLIP.
NA endapo utapokelea benki ya EQUITY, UNAPATA MKOPO HADI WA MILIONI 1.
Kuhusu suala la kuchelewesha mishahara nimezungumzia kampuni za local mf: kiwango security, Gema security, mkb securities, stemo security , nass security na mengine mengidah mkuu wewe ni Muongo wa kimataifa.
mm nimefanya kazi GardaWorld, hakuna ucheleweshaji wa mishahara hata siku 1.
mishahara inapokelewa mapema sana, wakati mwingine siku 2 kabla ya mwisho wa mwezi.
Na unapewa SALARY SLIP.
NA endapo utapokelea benki ya EQUITY, UNAPATA MKOPO HADI WA MILIONI 1.
Mkuu,nitoe tongo kidogo...nikitaka kuapply,huwa wanaangalia vigezo vipi...je mi lazima mtu awe amepiga kwata jkt?na je kwa mwenye taaluma,inakuwakuwaje...maana sahv vijana kitaani kwa motodah mkuu wewe ni Muongo wa kimataifa.
mm nimefanya kazi GardaWorld, hakuna ucheleweshaji wa mishahara hata siku 1.
mishahara inapokelewa mapema sana, wakati mwingine siku 2 kabla ya mwisho wa mwezi.
Na unapewa SALARY SLIP.
NA endapo utapokelea benki ya EQUITY, UNAPATA MKOPO HADI WA MILIONI 1.
Vigezo vyao common ni elimu kuanzia form 4.Mkuu,nitoe tongo kidogo...nikitaka kuapply,huwa wanaangalia vigezo vipi...je mi lazima mtu awe amepiga kwata jkt?na je kwa mwenye taaluma,inakuwakuwaje...maana sahv vijana kitaani kwa moto
Nenda pale office zao ziko kwa mwinyi utakuta ubao wameandika masharti yao na vigezo vyao na siku ya kupeleka na muda wakufika nakushauri nenda usisubiri kuambiwa kila kitu wanavimasharti vingi kidogoVigezo vyao common ni elimu kuanzia form 4.
urefu.
kuhusu jkt sio lazima, kama umepita is just an added advantage
Mwambie huyo asiejua.Nenda pale office zao ziko kwa mwinyi utakuta ubao wameandika masharti yao na vigezo vyao na siku ya kupeleka na muda wakufika nakushauri nenda usisubiri kuambiwa kila kitu wanavimasharti vingi kidogo
Mkuu operation manager wa gardaword tawi la mwanza?! Au sijakuelewa vizurMwambie huyo asiejua.
mimi ni kama Operations Manager hapa Mwanza.
Na Kama ndio tupostie basi vigezo na masharti ya siku ya kupeleka ili mtu ajiandae sio anaenda anaambiwa kachelewa au sio siku iyo msaada tu mkuu naomba kama hutojali vigezo kwa both side walinzi na maderevaMwambie huyo asiejua.
mimi ni kama Operations Manager hapa Mwanza.
atatapeliwa mtu hapo muda sio mrefuNa Kama ndio tupostie basi vigezo na masharti ya siku ya kupeleka ili mtu ajiandae sio anaenda anaambiwa kachelewa au sio siku iyo msaada tu mkuu naomba kama hutojali vigezo kwa both side walinzi na madereva
Mkuu darasa7 hawachukui? daa maana naangaika sana nisaidie plz me msichana 29yrsVigezo vyao common ni elimu kuanzia form 4.
urefu.
kuhusu jkt sio lazima, kama umepita is just an added advantage
Nitumie namba yako pm tuongeeMkuu darasa7 hawachukui? daa maana naangaika sana nisaidie plz me msichana 29yrs
Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Ww nenda pale kasome kwenye ubao wa matangazo hata lasaba wanakubaliwa utapigwa [emoji23] shauri yakoMkuu darasa7 hawachukui? daa maana naangaika sana nisaidie plz me msichana 29yrs
Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Mimi nakaa huku mwisho wa Dunia Mbagala .....nipande magari ya wapi na nishuke kituo gani?Msaada tafadhali.Ww nenda pale kasome kwenye ubao wa matangazo hata lasaba wanakubaliwa utapigwa [emoji23] shauri yako
Magari ya kawe omba msaada kituo kinaitwa kwa mwinyi ukishuka ulizia office za gardaword utaelekezwa sio mbali ukifika unakutana na huo ubao wa matangazoMimi nakaa huku mwisho wa Dunia Mbagala .....nipande magari ya wapi na nishuke kituo gani?Msaada tafadhali.
Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app