A
Anonymous
Guest
Habari,
Kuna mdau namfahamu alikuwa amepata nafasi ya kazi kwa kampuni tajwa apo juu, alitumiwa meseji ya maelekezo kuwa wataanza kufanya training ambayo ina shift, kuna asubuhi na usiku, uyo mdau alipangiwa shift ya usiku na malipo ilikuwa ni 20k per shift.
Cha ajabu alienda kwa iyo shift kuanzia saa mbili usiku mpaka saa 2 asubuhi na walivyotoka wakadai malipo wakasema walimuulize HR, HR katafutwa na kusema malipo sio 20k kwa shift bali ni 20k kwa siku 4, maana ni 5k kwa shift kitu ambacho sio sawa kabisa kama ilivyokuwa kwa maelekezo.
Jamaa alikuwa amechoka sana anasema msimamizi alikuwa mkali sana hakukuwa na muda wa kumpuzika na hii kitu ni kama mchezo wa iyo kampuni kutumia watu vibaya bila malipo na sidhani kama serikali inajua hili.
Kampuni ina ofisi mtaa wa SIDO, Morocco, Kinondoni nyumba namba 1.
Asanteni.