Kampuni ya globalpublishers kusimamisha uzalishaji wa magazeti Januari 2021


Kama Una link ya Mwakasege kuhusu msimu mpya iweke please
 
Binafsi sijawahi kutoa hela yangu kununua gazeti, simu janja zinarahisisha sana upatikanaji wa taarifa siku hizi. Natanguliza pole kwa wote watakaoathirika moja kwa moja na katizo hilo la uzalishaji.
 
Globalpublushers waanzishe magazeti yenye kutumia lugha ya Kiingereza hard copies and online soft copies soko bado lipo.
 
Mimi nashukuru siingii huko. Maana unaweza kuwa hooked.Safari moja ikaanzisha nyingine.

These days YouTube channels ndo zina take over..so kuwakwepa ngumu
Unaweza anza na channels zingine ukashangaa upo kwingine
 
Nakumbuka enzi hizo nipo bado chalii napita zangu mitaa ya Mwenge niende skonga, nikajisogeza kwenye meza ya magazeti kupitia vichwa vya habari, nasoma gazeti la Maisha namkuta dada yangu kipenzi kwenye ukurasa wa mbele, nikafurahi sana, nikatoa sh. 100 nikanunua gazeti lile (ndio gazeti langu la kwanza kununua) niliporudi jioni nikakuta home walinunua na wao, basi lile gazeti lilikua kwenye maktaba yangu kwa miaka mingi,

Nawaombea kheir kwenye hatua yao nyingine, global publishers.
 
These days YouTube channels ndo zina take over..so kuwakwepa ngumu
Unaweza anza na channels zingine ukashangaa upo kwingine
Wanachangamkia ad dollars, I hope mitandao imerudi kama kawaida sasa, hapa katikati waliwaharibia sana watu wenye hizi biashara.
 
Bila Shaka kipindi icho ulikuwa hujaanza ile tabia mbaya ya kujifanya mashine ya kusaga[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Ubunge mtamu bwashee!
 
Mbio za teknolojia
Usipoenda nayo hiari itakuzoa na kukubeba kwa lazima
 
Mbio za teknolojia
Usipoenda nayo hiari itakuzoa na kukubeba kwa lazima
Nimesikia awamu hui hata serikali imejipanga sana kuwekeza kwenye TEHAMA lakini cha ajabu wametunga sheria ngumu sana za mitandao sasa sijui watawekezaje
 
Kasi gani? Mpaka sasa Newyork times na Washington post yana patikana kwa hardcopy tena kwa wingi sana,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…