Kampuni ya Indiana yafungua kesi ya madai ya takribani Sh. Bilioni 220 dhidi ya Tanzania

Very sad, tumepata mtawala mkurupukaji, ambaye hafanyi analysis ya kile ambacho kitatokea kwa maamuzi anayoyafanua

Mbona!!! Umeambiwa na nani hayo?? Wizi wao wa miaka mingi na ujanja janja.. awamu hii na ijayo.. wataomba po tu

Magufuli huwa hakurupuki.. andastudi?
Ni jembe.. smati balaa..
 
Hadi majina wanajulikana wawili wana rangi nyeupe Ila waswahili wenzetu
 
we jinga kweli kweli.... washitaki zitalipwa na baba yako? Hizi ni hela zetu, kodi zetu znatumika kulipa upuuzi ambao ungeliweza kuepukwa
Sasa mkuu, unavunja sheria alafu unataka uonewe huruma kisa kodi inatoka kwa mnyonge mmh!
 
Wameona bombadia zetu hawa...halafu si ile Drimulaini yetu ilianza safari India inabidi tusitishe kwa muda.

Utawala wa sheria ndio kitu Cha mhimu la sivyo tutashitakiwa Sana tu.
Ndicho anachotaka Beberu mweusi
 
Wameona bombadia zetu hawa...halafu si ile Drimulaini yetu ilianza safari India inabidi tusitishe kwa muda.

Utawala wa sheria ndio kitu Cha mhimu la sivyo tutashitakiwa Sana tu.
Kama tumeokoa zaidi ya hiyo bilioni 200 kwa kuvunja hilo li mkataba lao sioni shida hata tulilipa fidia.
 
MAGUFULI njoo huku mabeberu wanakuita
Sio mabeberu ni watanzania wenzetu na engineer alyefungua hiyo kesi ni Lisu kwa niaba ya mafisadi watanzania wenye hiyo kampuni ndie kaifungua kupitia proxy Wake wanasheria wa nje

Lisu ni hatari sana kwa nchi hana uzalendo na ni part ya genge la wezi mafisadi
 
Mbona!!! Umeambiwa na nani hayo?? Wizi wao wa miaka mingi na ujanja janja.. awamu hii na ijayo.. wataomba po tu

Magufuli huwa hakurupuki.. andastudi?
Ni jembe.. smati balaa..
Wewe ni mjinga kwelikweli toka lini wazungu waliomba pooo Kwa waafrica?
 
Sio mabeberu ni watanzania wenzetu na engineer alyefungua hiyo kesi ni Lisu kwa niaba ya mafisadi watanzania wenye hiyo kampuni ndie kaifungua kupitia proxy Wake wanasheria wa nje

Lisu ni hatari sana kwa nchi

Ule mkaa wa mawe aliojiuzia Mkapa , ulipata share ya kurithi ??
 
Washitaki tu...kabla ya kesi watuambie CSR walitoa kiasi gani maana hata kampuni yenyewe haifahamiki
Vp zile dola bil 490 za Barrick mmezisamehe kama vile hao mabeberu ni binamu zenu?
 
Very sad, tumepata mtawala mkurupukaji, ambaye hafanyi analysis ya kile ambacho kitatokea kwa maamuzi anayoyafanua
Nyie ndio wapumbavu! Hamjui tumeokoa kiasi gani kwa kuvunja huo mkataba!
Bilion 200 ni kitu gani?
 
Kwani kabudi ameshasemaje?
Ukiwa tajiri hukosi vikesi vya kudaiwa fidia maana hata wazungu wanajua sisi ni donor country basi tu mambo madogomadogo yanatukwamisha
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]kwa kujifariji haujambo
 
Wewe ni mjinga kwelikweli toka lini wazungu waliomba pooo Kwa waafrica?
Sasa kama unawasujudia na mpaka Lisu anasema hatuwezi kuishi bila wao,
Fikiria mtu kama huyo awe rais!

Mzungu ataomba poo kweli?
 
KILA NJAMA KUELEKEA UCHAGUZI ZITAJITOKEZA ILA MWISHO RAIS NI MAGUFULI TU
 
Thibitisha, attach your evidence here, sio unaongozwa na chuki
 
Polepole ataliyolea ufafanuzi hili. Mbona jambo rahisi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…