Kampuni ya Indiana yafungua kesi ya madai ya takribani Sh. Bilioni 220 dhidi ya Tanzania

Wameona bombadia zetu hawa...halafu si ile Drimulaini yetu ilianza safari India inabidi tusitishe kwa muda.

Utawala wa sheria ndio kitu Cha mhimu la sivyo tutashitakiwa Sana tu.
Kweli tusipofuata utawala wa sheria tutashitakiwa kila wakati
 
Kwani kabudi ameshasemaje?

Ukiwa tajiri hukosi vikesi vya kudaiwa fidia maana hata wazungu wanajua sisi ni donor country basi tu mambo madogomadogo yanatukwamisha.
Kabudi toka JPM amemuokota Jalalani haeleweki kabisaaa! Anautumbua macho tu.
 
Ukiseikia Indiana si kwamba kampuni iko India, huzi Shule Mola atuokeo tuna kosa Exposure kwa kiwango cha kutisha
Wameona bombadia zetu hawa...halafu si ile Drimulaini yetu ilianza safari India inabidi tusitishe kwa muda.

Utawala wa sheria ndio kitu Cha mhimu la sivyo tutashitakiwa Sana tu.
 
Wanacho taka ni mikataba iheshimiwe, hauo mengine unayajua wewe.
 
Hawo.. ndio wale mwananchi wa eneo hilo.. hawakuwasaidia kitu.. kurudisha kwa jamii walikuwepo.. zaidi ya kutuharibia mazingira tu na kutaka watu waugue..
Kama CCM ilivyo haribu mazingira kwenye Ubongo wako, kwa kuipenda mwenyewe.
 
Lissu angekuwa Beberu ukweli ni kwamba angewazilisha sana! Maana MaCCM mnambenulia mikia sana humu.
 
Lisu ndie kawaomba kuwa nikishinda kesi tutagawana nusu kwa nusu kitakachopatikana wala wao hawakuwa na mpango wa kufungua kesi

Wakamwambia go ahead
Bado barrick kile kishika uchumba lazima mkitapike
 
These clowns are full of themselves. Hapa inabid wawe wapole ili gharama zao za exploration zirudi. hizi mambo za kuleta neocolonialism sio poa maana assets ata kama walidiscover wao wenye sovereignity ni sisi. hapa kama wananchi ni lazima kua wamoja regardless ya itikadi na tofauti zetu. hili jambo linaffect vizazi vijavyo sio kitu cha miaka 10
 
Mbona!!! Umeambiwa na nani hayo?? Wizi wao wa miaka mingi na ujanja janja.. awamu hii na ijayo.. wataomba po tu

Magufuli huwa hakurupuki.. andastudi?
Ni jembe.. smati balaa..
Magufuli yupi hakurupuki? Yule wa meli ya samaki kituo cha mafuta mwanza au mwingine?
 
Moto unawaka..

Decision makers wetu yaani akina Mawe ndio wanatumia sijui nini kufikiri..

Angalia sasa what is happening...pure lack of maarifa....aisee,mawe mwana hasara kabisa!
 
Kwani kabudi ameshasemaje?

Ukiwa tajiri hukosi vikesi vya kudaiwa fidia maana hata wazungu wanajua sisi ni donor country basi tu mambo madogomadogo yanatukwamisha.
Anasema ata watishia kwa macho ya bundi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…