Kampuni ya Indiana yafungua kesi ya madai ya takribani Sh. Bilioni 220 dhidi ya Tanzania

Wameanza kudai kipindi kizuri sana, nani mwingine anadai huko?!
 
Lisu ndie kawaomba kuwa nikishinda kesi tutagawana nusu kwa nusu kitakachopatikana wala wao hawakuwa na mpango wa kufungua kesi

Wakamwambia go ahead
Wakati wakiongea hayo na kukubaliana wewe ulikuwa meza ya pembeni? Weka evidence ili uaminike. Hapa ni JF, siyo kitengo Cha Polepole pale Lumumba.
 
Huenda hii mikataba ilikuwa inavunjwa kumpaisha mtu fulanI bira kujua kitakachojiri baaadae
We unawaza mtu, huwazi hii mikataba ilikuwa na dosari gani labda, unawaza tu mtu fidenge atapata credits, wabongo wengine ni hasara tupu kudadadeki, dah.
 
Hao itakuwa wameshauriwa na Lisu waishitaki Tanzania.
 
Na route ya Mumbai naona wakisema goodbye.

Madeni kila kona.
Tayari tanzania inadaiwa zaidi ya $2 billion na makampuni 4, kwa ujeuri wa kutoheshimu mikataba.

2020: In April Wallis trading company that leased 2 Airbus A320 to ATCL has been awarded a $1 billion fine it sought from GOT and ATCL for breach of contract.

2019: World bank tribunal fined and Instructed GOT and tanesco to pay $200 million to hong kong based energy company(IPTL) for breach of energy contract.

2018: World bank tribunal instructs GOT to pay american energy company symbion $570 million for tanesco breaching a contract they signed.

2017: Canadian construction firm seized an ATCL plane due to a $100 million debt owed to it by GOT, Tanzania reached a settlement to pay the construction company in phases

Tanzania still faces 6 other cases at the world bank tribunal totaling another $1.6 billion.
 
Wah $1.6b hiyo ni pesa mob sana.
Tanzania is truly a dead state.
 
TTu
Jibu litapatikana tuwe na subira tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…