Kampuni ya Kenya yapata deal kubwa sana Botswana nchi ya SADC

wewe uko usingizini bado! delegation ya Kenya haikuwa ba mtu yeyote kutoka wizara ya kilimo au nishati.
Hahahaha, kama kawaida, akili zenu zinafikiria Ukabila pekee, Profesa Hamisi Boga anacheo gani huko Kenya?
 
We are not like you who depends on donations. We will buy your raw materials including maize, process them and then we sell them back to you.
But you can't compensate your own citizens almost eleven years now after PEV

But you can't construct even a kilometer of your SGR without Chinese, you have forced to abandon it in the mid of the jungle.
 
wewe uko usingizini bado! delegation ya Kenya haikuwa ba mtu yeyote kutoka wizara ya kilimo au nishati.
Sikiliza jinsi mnavyodhalilika kwa kuomba chakula, huyo anayeomba ni katibu MKUU wenu wa KILIMO.
 
Kwa kupenda sifa za kijinga mnaongoza [emoji23][emoji23][emoji23] ila siwashangai maana mlianzisha ruti ya ndege zenu kwenda USA huku mkibeba abiria 6 wakati kuna ruti mngeanzisha mngebeba abiria wa kutosha hadi mngepata pesa ya kununua ndege nyingi zaidi.
Cc joto la jiwe
 
Of course it is your Capital City [emoji23][emoji23][emoji23] hata Yale Mahindi tutanunua from you is worth much less.
Hahahaha, Capital city of USA is Washington DC, South Africa is Pretoria, Nigeria is Abuja, The Netherlands is The Hague. Compare their economies in relation to New York, Jo' burg, Amsterdam and Logas. Acha kukariri na uanze kutumia akili yako. Capital City has nothing to do with economy of a country.
 
Hizo zote umetaja are Cities. Dodoma is a village 😂😂😂 can't even be compared to Lodwar.

I think Dodoma should be called The Capital Village of Tanzania si hata Dar ni Fishing village 😂 😂 😂
 
Hizo zote umetaja are Cities. Dodoma is a village [emoji23][emoji23][emoji23] can't even be compared to Lodwar.

I think Dodoma should be called The Capital Village of Tanzania si hata Dar ni Fishing village [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sasa mbona unalinganisha revenue ya " Village" na ile ya Botswana na Kenya?, stupid.
 
Hizo zote umetaja are Cities. Dodoma is a village 😂😂😂 can't even be compared to Lodwar.

I think Dodoma should be called The Capital Village of Tanzania si hata Dar ni Fishing village 😂 😂 😂
Many Kenyan software companies do business in the south. A friend and neighbor called Ntalami (former portfolio manager AON new york), owns Innova, a Kenyan asset management, custody and trading software company with huge clients in the eac and also in sadc countries eg. Nssf Uganda, Cytonn Kenya, I&M bank Kenya, FNB bank botswana, CAL bank ghana, eco bank ghana,UTT Amis Tanzania,Africa life Zambia and Minet Zambia (The list is long).
They generate revenues of about $47 million and his software developers earn as much as Kes 500,000 a month.
 
Ambaho watu hawajui ni kwamba hio dili ilitiwa sign wakati Rais wa Botswana alikua amekuja Ziara rasmi Kenya,na hio dili ilikua ni miongoni mwa dili nyingi tu ambazo tulitia sign ikiwemo oorperation katika nyanja za ICT ambapo itaona kampuni nyingi zaidi za ICT zikifungua ofisi huko botswana,kwahivyo tulieni tu hapo muone watu wakifanya biashara

Botswana says it is endorsing Kenya’s bid for a seat at the UN Security Council when a position becomes vacant later this year.
Visiting Botswana President Eric Masisi said his country would back Kenya out of “trust” that Kenya would support it, too, in other international bids.....
.........
On Tuesday, the two leaders, at a State House Nairobi meeting, witnessed the signing of agreements which cover bilateral trade, air transport and ICT. Deputy President William Ruto also attended the meeting.
They witnessed the signing of the non-double taxation agreement which was signed by Foreign Affairs Cabinet Secretary Monica Juma and Internal Affairs and Co-operation Minister Unity Dow for Kenya and Botswana, respectively.
At the press briefing, President Kenyatta said they had sought to strengthen co-operation in mineral exploration, livestock breeding, trade, tourism promotion, agribusiness and manufacturing.










Huyo waziri wa botwasana aliesonga nywele 🥰🥰🥰🥰🥰
🥰





ICT
 
Hahahaha, hivi hii nayo mnaita ni deal?, wajinga ninyi, Maneno mengi mkipata kitu kidogo lakini nchi yenu imeshindwa kujenga hata mradi mmoja wenye thamani ya $1B. Umesikia Jana Magufuli ameweka jiwe la msingi la mradi wa kuzalisha UMEME wenye thamani ya $3B kwa pesa za ndani?. Haitotokea katika karne hii Kenya mkaweza kujenga mradi wa level hiyo kwa kutumia pesa ya serikali bila mkopo.
 
Acha upumbavu, hela zipi za ndani? TRA inaokota hela ngapi kila mwaka ukilinganisha na KRA? Bajeti yenu kiduchu ya mzaha, ukilinganisha na ya Kenya, tena kwenye masuala msingi kama afya, elimu na usalama inajaziliwa na misaada kutoka kwa mabwana zenu wazungu. Priorities zenu ni zipi? Deni lenu la nje linaenda kusawiana na letu ila ukilinganisha miradi mikubwa ya Kenya ambayo imeshatekelezwa na hizo zindua zindua zenu utaona aibu. Hebu tuondolee hizo propaganda za kilofa za sisiemu na urudi kwenye mada iliyopo mezani.
 
Wewe acha upoyoyo wako hapa, onyesha ni mradi upi wenye thamani ya $1B Kenya mliojenga kwa pesa ya ndani?. Huu upumbavu wenu wa kusema mnakusanya pesa nyingi lakini hakuna kinachoonekana hizo pesa zinaenda wapi zaidi ya kugawana salaries na zingine kuishia katika mifuko ya Rotich, Waititu na MKE wake utaendelea kubaki ndani ya vichwa vyenu.

Tafadhali onyesha ni mradi gani mkubwa wa zaidi ya $1B ambao mumeutekekeza bila kuomba wachina.
1) SGR; Dar to Makutopira $3.1B
2)Rufiji hydroelectric dam $3B
3)8 New planes $1.2B
4)Longest bridge on Lake Victoria $$350M
Hii ni baadhi tu ya miradi inayotekelezwa kwa pesa ya ndani, Kenya haiwezi hata kukarabati reli ya zamani, imeomba mkopo, stupid kabisa ninyi.

Wewe onyesha mradi mmoja ambao serikali yenu inatekekeza kwa pesa zenu wenyewe thamani inayozidi mradi wowote kati ya hiyo niliyokuwekea.
 
Hebu nionyeahe hizo projects za zaidi ya $1 B pesa ya ndani mlizokamilisha!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…