Kampuni ya Kenya yapata deal kubwa sana Botswana nchi ya SADC

Macho yako yanashida gani?, soma post yangu #39.

Tafadhali onyesha ni mradi gani mkubwa wa zaidi ya $1B ambao mumeutekekeza bila kuomba wachina.
1) SGR; Dar to Makutopira $3.1B <<< Phase 1 Haijakamilika, Phase 2 haijafika hata 1%
2)Rufiji hydroelectric dam $3B <<< Ujenzi haujaanza
3)8 New planes $1.2B <<< Bought over a period of several years, na si ndege zote zimefika
4)Longest bridge on Lake Victoria $$350M <<< Ujenzi haujaanza!!



-------------------

Kwa kifupi hauna tofauti na mtoto anaecheza na wenzake alafu anaanza kuchora kwa mchanga eti ako na nyumba na magari na mandege, alafu mtoto mwengine naye anaanza kuchora meli na vifaru, wanabaki kushindana nani ako na mali nyingi........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…