Kampuni ya Kiluwa yafanikiwa kuandaa Kongamano kubwa la uhamasishaji wa uwekezaji wa Viwanda jijini beijing

Predeshee Mohamed Kiluwa ameacha kutajwa tajwa kwenye band za dansi ameamua kuwa serious kwenye uwekezaji

Ila familia ya kutoka msoga wamejificha ndani ya Kiluwa.
 
Big up.
vivutio na fursa zimetangazwa.
 
Predeshee Mohamed Kiluwa ameacha kutajwa tajwa kwenye band za dansi ameamua kuwa serious kwenye uwekezaji

Ila familia ya kutoka msoga wamejificha ndani ya Kiluwa.
Kuna ubaya wowote Msoga family kufanya biashara?
 
Kuna ubaya wowote Msoga family kufanya biashara?

Yes ni mbaya sana sbb the source ya hela hiyo ya biashara itakuwa iliibwa wakati msoga family wakiwa Magogoni
.meaning fedha za umma zilichotwa, hapo ndipo ubaya unakuja tena Ikulu ni kosa kubwa kufanya biashara, so msoga family ilivyokuwa Magogoni walipiga madili sana and blindly bila haya au aibu unasema kuna UBAYA? As if huoni vile.. Ujue wezi ndio husapoti wezi... You look like one
 
Endelea hivyo hivyo na mawazo ya kimaskini. Eti zilichotwa wakiwa magogoni. Fanya kazi we zombi achana na Chorus statements. Umaskini mbaya sana.
 
Asante mkuu kwa kumjibu maana nilimpotezea na kujibishana nae kama kupoteza muda tu. Hongera sana mkuu
 
Do you have proof? Je, ukiitwa mahakamani kuthitisha hili unaweza?
 
Asante mkuu kwa kumjibu maana nilimpotezea na kujibishana nae kama kupoteza muda tu. Hongera sana mkuu
Nadhani hizo ni fikra zenu mgando. Mwenzako akifanikiwa unaanza kuleta sababu. Wenzako wanapiga kazi wewe unakalia majungu.
Je, tukiutaka ulete uthibitisho wa hayo unayoyaongea unaweza kuuleta? Je, ukishidwa kuleta uthibitisho na ukachukuliwa hatua za kuchafua jina la kampuni kwa taarifa za kutengeneza itakuwa kosa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…