Habari wakuu. Naomba msaada juu ya taratibu za kufuata ili kuanzisha kampuni ya kutoa mikopo na usajili wake.
ladyfurahia kwa sasa brela hawaruhusu businessname isajiliwe kwa shughuli za kifedha hasa ukopeshaji,ila kwa limited company
pia leseni yake kwa sasa hutolewa na kupitia wizara ya viwanda na biashara ambao wao huwasilisha hayo maombi bank kuu.
Ninauzoefu wa mambo yanuyohusu usajili wa businessname,company limited by share au company limited by guarantee
0712742233