Kampuni ya Limonta na Reen Line Kuboresha Miundombinu ya michezo nchini

Kampuni ya Limonta na Reen Line Kuboresha Miundombinu ya michezo nchini

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,278
Reaction score
797
Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu amekutana na kufanya mazungumzo Ofisini kwake Mei 15, 2023 Mtumba jijini Dodoma na wawakilishi wa Kampuni za Limonta na Reen Line za nchini Italia kuhusu kujenga na kuboresha miundombinu ya Michezo nchini.

Kikao hicho pia kimehudhuriwa na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Nicholas Mkapa, MKurugenzi wa Sera na Mipango Abel Shirima, Mwakilishi wa Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo Bw. Addo Komba pamoja na baadhi ya Maafisa wa Wizara hiyo.

20230515_195222.jpg
 
Anafanana na babake. Hivi kwa nini watoto wa vigogo huwa hawaendi kabisa kwenye private sector?
 
Mbona habari haifanani na picha? Graduate wa Cuba wana mengi mioyoni mwao
 
Back
Top Bottom