Kampuni ya mafuta ya TOTAL

dyuteromaikota

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2013
Posts
5,929
Reaction score
8,327
Wekeni kituo cha mafuta maeneo ya mandera road/tabata. Naamini sana bidhaa yenu na kuna wengine wapo karibu lkn ukiweka mafuta tu kwenye gari, taa ya check engene inawaka.

Kwa kuwasaidieni pale Tabata mawenzi kuna sheri imefungwa. Mwaweza kuweka hapo.

Wenu katika ujenzi wa Taifa.
Dyuteromaikota.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…