Jamaa hawana makelele mengi ila wako vizuri. Hawana kiki na huwezi waona wanasiasa sakienda hapo Kila siku kwasababu wahusika wako serious na kazi Yao kuliko maneno.
NAANDIKA KWA HERUFI KUBWA HAPA.HONGERA SANA KWA HATUA NZURI HII.IFIKE WAKATI WAMILIKI TUWE WENGI KWA GHARAMA ZA KITANZANIA.ATAKAYETAKA KWENDA NJE ATAENDA KWA UMAARUFU WA AINA YA GARI.