Kampuni ya magari ya China Foton yazindua malori yaliyounganishwa nchini Kenya

Kwanini hawa wachina wanapenda vitambaa vyekundu katika uzinduzi wao wowote. Au ndio mambo ya traditional rules,
Chek hata New force gari zao etc

Ni rangi inayoashiria furaha na bahati nzuri kwao, sherehe zao nyingi naonaga wanaweka urembo wa rangi nyekundu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…