Kampuni ya maxlipo imeelemewa?

Kampuni ya maxlipo imeelemewa?

remon

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
295
Reaction score
48
Wadau naomba kujuzwa kuhusu kampuni ya maxmalipo, hasa wale mawakala au kwa yeye kujua. Ni miezi kadhaa sasa machine maxmalipo zimekuwa zinausumbufu mkubwa sana, nikiwa na maana mara nyingi imekuwa ukitaka kulipia huduma fulani hamna mtandao , huduma moja wapo ni umeme(kununua luku) tra (vehicle road licence), vocha na nyingine nyingi. Hii kitu imekuwa inaleteta usumbufu mkubwa kwa utumiaji na mawakala. Je hawa jamaa ni kwamba wameshindwa kazi? Maana wanaingiza bidhaa nyingi huku ikionekana hawana uwezo. Je makampuni yanayoingia nao ubia kufanya malipo mbali mbali wanaliangalia hili?
 
Back
Top Bottom