Kampuni ya META inayomiliki WhatsApp, Facebook, Instagram, Threads, Messenger, inashirikiana na mamlaka za Serikali kukamata wahalifu

Siyo kila kitu ni uhalifu mfano Kukosoa mamlaka siyo uhalifu, ila ina be branded as uhalifu by watawala, in short Meta social networks companies siyo salama kwa wanaharakati, wanakuwa exposed so easily
 
Exactly
 
Wale wa Tuma kwa namba hii?
 
Wale wa Tuma kwa namba hii?
Wanaofanya uhalifu kwa kutumia social media mfano Facebook, WhatsApp, Instagram, Threads. Huu wa tuma kwa namba unahusisha mitandao ya simu. Utahusishwa na social media ikiwa njia iliyotumika ni ya mitandao ya kijamii
 
Waliwahi kushinikizwa kutoa taarifa za washiriki wa jamii forum lakini mkurugenzi wa huu mtandao akakataa hadi akafunguliwa kesi baadae akashinda.Serikali ya kidicteta ya sa100 ilutaka kutuumbua members wa humu watukamate.
Au mkuu ndo mana Mwaka jana ilikua kuingia umu ad utumie VPN!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…