Kampuni ya mikopo ya Pesa X hawana lugha nzuri kwa wateja

bea123456

New Member
Joined
Oct 15, 2024
Posts
1
Reaction score
3
Pesa X jamn hawa watu wa mikopo hawana lugha nzuri wanatumia lugha chafu vitisho mtu anaambiwa atalipa tar 28 yote na apo imepita siku 2 sms za vitisho kama vyote.

Mimi naomba mamlaka husika hawa watoa mikopo online zipunguwe kama hawa watu wanaoitwa Pesa X hawana lugha nzuri kabsa.
 
Bado wapo mpaka leo? Mm tulipelekeana moto mpaka leo kunikopesha hawawez. Na mbona walishafungiwa hao?
 
Msikope!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…