Kampuni ya ndege ya rwandair yaiingiza ndege ya kwanza crj 900-first own


aiseeee babaangu si bora chao cha kumiliki kuliko chako cha kukodi alafu ficha ujinga wako onyesha busara zako
 
aiseeee babaangu si bora chao cha kumiliki kuliko chako cha kukodi alafu ficha ujinga wako onyesha busara zako

Saa nyingine cha kununua ni kupoteza PESA - Hiyo Ndege ya watu 50; Bongo haitasaidia - labda Rwanda ni kwa kwenda safari za ndani ya Rwanda... Mtu BINAFSI anaweza kuinunua na kuimiliki... Sasa kama ni KUFICHA UJINGA nadhani ndio MAANA wameinunua...
 
...Labda Mimi Ndio Sikuelewa?
Mbona wanasema Wazi kabisa kuwa Model CRJ200 ni Ndege yenye Uwezo wa Kubeba Abiria 50
Na Model CRJ900 NEXTGEN ambayo ni Model Tofauti Kabisa ina Uwezo wa Kubeba Abiria 75 ??
Hii maana yake ni Kuwa Hizi ni Model mbili Tofauti zenye kubeba Idadi Tofauti ya Abiria na Uwezo tofauti wa Umbali??
Kubana viti kunatokea wapi hapo??
Au ndio maana kuna Mchangiaji kasema Tufiche Ujinga wetu?????
 
Saa nyingine cha kununua ni kupoteza PESA - Hiyo Ndege ya watu 50; Bongo haitasaidia - labda Rwanda ni kwa kwenda safari za ndani ya Rwanda... Mtu BINAFSI anaweza kuinunua na kuimiliki... Sasa kama ni KUFICHA UJINGA nadhani ndio MAANA wameinunua...

...Mkuu, wakati mwingine ni afadhali kuwa na Ndege zenye Uwezo wa Kusafirisha Abiria 50 Kuliko Taifa kubwa kama hili kukosa kuwa na shirika la Ndege.Ni aibu.
Tulikuwa na Ndege za Fokker Friendship zilizokuwa na Uwezo wa Kubeba Abiria 50 na zilifanya kazi Vizuri tu wakati ATC ilipokuwa ATC kweli.
Tukumbuke Pia tulikuwa na ndege aina ya Twin Otter zilizokuwa na Uwezo wa Kubeba abiria 18 tu kama sikosei.
Hii yote kabla hatujaongeza zile Boeng 737 zetu mbili za Kilimanjaro na Serengeti ambazo hata sijui Zilikoishia.
Lakini Kikubwa ni Kwamba pamoja na kuwa na Ndege zinazobeba abiria 18 tu na nyingine 50 tu, Bado tuliweza kutembea kifua mbele kwa angalau kujulikana tu kuwa tuna Shirika la Ndege la Taifa, AIR TANZANIA...!

 


Yeah, Wakati ULE RAIS alikuwa anakaripia Ununuzi wa kukodisha; na SIO kwenye KIWANDA cha Kutengeneza NDEGE Sina Shida ya kuwa na ABIRIA 50 au 75' Tatizo ni hicho KINDEGE... Hakita MUDU safari za BONGO nchi yetu ni kubwa Sidhani inaruhusiwa kupiga round 4 kwenda MWANZA na kurudi kwa SIKU au round 12 kwa WIKI

Hicho ni kindege cha KIFAHARI... Unaona Rais wetu yake TRIP kubwa ni ARABUNI; Hawezi kukichukua MPAKA LONDON

Hauoni itakuwa waste of HARD CURRENCY? Rwanda kwao labda sababu nchi ni ndogo zaidi ya MKOA wa KIGOMA...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…