TEK Senior Member Joined Jul 13, 2015 Posts 184 Reaction score 35 Aug 22, 2015 #1 Wanajukwaa, Naomba kwa anayejua vizuri kuhusu kampuni tajwa hapo juu anijuze kuhusu bidhaa zake na namna inavyofanya biashara.Nimeambiwa inafanya biashara ya mtandao ilanikimuuliza huyo aliyenishirikisha ananiambia ni lazima nijiunge kwanza.
Wanajukwaa, Naomba kwa anayejua vizuri kuhusu kampuni tajwa hapo juu anijuze kuhusu bidhaa zake na namna inavyofanya biashara.Nimeambiwa inafanya biashara ya mtandao ilanikimuuliza huyo aliyenishirikisha ananiambia ni lazima nijiunge kwanza.