ngasumtwi Member Joined Jun 3, 2016 Posts 9 Reaction score 4 Jun 8, 2016 #1 Mkuu, mara kadhaa nimesoma Mada kuhusu Hisa, na elimu ilitolewa ilinifikisha mahali pa kudhani kuwa nimepoteza. Kama yupo anayejua lolote kuhusu Kampuni hii anisaidie kwani nina Hisa zangu tangu miaka ya 2004/2005.
Mkuu, mara kadhaa nimesoma Mada kuhusu Hisa, na elimu ilitolewa ilinifikisha mahali pa kudhani kuwa nimepoteza. Kama yupo anayejua lolote kuhusu Kampuni hii anisaidie kwani nina Hisa zangu tangu miaka ya 2004/2005.