DOKEZO Kampuni ya Nyota Tanzania [Maersk] inalazimisha wateja wake kulipia gharama za usafirishaji kwa dollars

DOKEZO Kampuni ya Nyota Tanzania [Maersk] inalazimisha wateja wake kulipia gharama za usafirishaji kwa dollars

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
A

Anonymous

Guest
Kama unashindwa kulipia mzigo wako hauwezi kutoka ukifika port of discharge, ina maana wanapingana na agizo la Waziri wa Fedha kuwa malipo yote tufanye kwa Tsh, na kwanini tulipe kwa dollars wakati wana account mbili moja ni tsh ambayo ni Account Name NYOTA TANZANIA LTD Account no ni TSH 100-269-121
Na ya hii ni ya usd : USD 100-269-056, sasa sisi wateja dollar tunazitoa wapi wakati hakuna?

Pia soma
- Mwigulu: Shilingi itumike. Kama unataka kupokea kwa Dola, nenda kajenge Marekani
 
Chura kaziba mackio yake!!




KAZI ni kipimo cha UTU
 
Back
Top Bottom