KERO Kampuni ya Pent Optimism inashikilia vyeti vya kitaaluma vya wafanyakazi wake. Tunaomba waturudishie vyeti tutafute fursa nyingine

KERO Kampuni ya Pent Optimism inashikilia vyeti vya kitaaluma vya wafanyakazi wake. Tunaomba waturudishie vyeti tutafute fursa nyingine

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Habari,

Kuna kampuni inaitwa Pent Optimism iko Dar es Salaam inafanya partnership na Vodacom, inaajiri vijana kwa mkataba ila wanashikilia vyeti vyao vya kitaaluma. Je, iko Sawa?

Ni sheria gani inaruhusu mwajiri kukaa na vyeti original vya kitaaluma vya mwajiriwa?

Naomba tusaidie katika hili vijana wapate kurudishiwa vyeti original ili wapate nafasi ya kuomba fursa sehemu nyingne pia zinapotangazwa fursa
 
Back
Top Bottom