Kampuni ya Platinum ni hovyo sana

Jamaa yangu aliingia mkenge kwa hawa watu wlimzidishia miezi sita mbele akaenda kwenye ofisi zao akakomaa kawaambia mi siondoki humu mpaka mnipatie fedha zangu alilala mle ofisini siku mbili ya tatu wakamuona kama chizi wakampatia

Nenda mahakamani mkuu maana huo ni wizi wa kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu
 
Hakika naona dalili chafu mno. Wanafanya mchezo WA kitapeli baina ya makao makuu na branch manager
 
Nawafahamu Manager Msalaba Anaitwa,sidhani Kama Ana Elimu,nachokushauri Mkataba Unao Peleka Mahakamani Watakufanyia Fasta,hiyo Kampuni Siyo Geita Tu Tanzania Nzima Wanafanya Ivo Na Hiyo Loan Settlement Inalalamikiwa Na Kila Mtu,tatizo Management Mechanics Wanayoapply Kwenye Riba Inakula Kwao Wakientartain Sana Settlement
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…