Miaka ya nyuma ziliibuka vi microfinance vingi ila miaka 2000 kwenda mbele zilipata faida ya mikopo wanayotumia kukopesha watu mpaka nyengine zikijiweka kama benki.
Kutokana na mdororo wa uchumi duniani na wengi kufungua makampuni ya mkopo ,vijibenki vingi vimeanza kumuuzia selcom.
Kumbuka selcom ndio wakala mkubwa wa upitishaji malipo hapa tanzania na kila sehemu amekuwa akitumiwa kwenye malipo hata benk ndogo ndogo.
Kumbukeni UMOJA SWITCH ni ya selcom .
Naona benki iliyokuja kwa kasi ACCESS BANK IMEKUWA TAWI LA SELCOM
Pia soma
Access Bank Tanzania yauzwa, sasa kujulikana kama 'Selcom Microfinance Bank'