Kampuni ya simu imeniibia muda wa maongezi

fundimchundo

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2010
Posts
739
Reaction score
1,032
Wafanyakazi wa kampuni ya simu wamehamisha salio kutoka kwenye simu yangu kwenda kwa watu nisiowajua bila mimi kujua wala bila kutumia simu yangu ya kiganjani. Haki yangu kisheria ni ipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…