Kampuni ya Tahmeed yaleta mabasi mfano wa ndege

Wakati bavicha wakihubiri ugumu wa maisha, wanaume wa kazi wanaingiza mabasi mapya
 
Kumbe ndege ndio zipo hivyo eeeh,daah sijawahi kuona ndege hata mara moja
 
sibahatishi nisemacho, hata ratco zilikuwepo. ila hakuna za kuanzia mwanzo hadi mwisho hakuna zaidi ya Tahmeed. pia nikukumbushe hatupo hapa kubishana
Mabasi ya Kimbinyiko ya ssa tano kwenda Dodoma yana executive seat pale mbele nafikiri 1 by 1(kama sijasahau mana nimeshaacha kutumia huu usafiri) then kwanyuma pia kuna 2 by 1 sasa unaposema mwa zo mwisho unamanisha nini? Tunaomba ufafanuzi
 


Nilifikiri wamefungua kiwanda cha kuunda Mabasi kumbe imports!
 
Kimuonekano ni nzuri sana ila mie hilo jina tu zhongtong sijui mih hah ndo linalonitia wasiwasi...kwanini msinunue Marcopolo model mpga kama ni luxury mbona zishatoka?
 
Mbona kuna kampuni ya shabiby na Tabora One zina mabasi hayo toka dar tabora na dar dom kila siku toka 2015! Jitahidi kufanya tafiti kabla ya kuandika, usije andika utumbo broh.
Tujipitie mkuu binadamu kashashiba embe msimu wa njaa maneno yanamtoka.
 
Angalia vizuri hiyo resarch yako isiyokuwa na uhakika,Shabiby anazo hizo bus tokea mwaka jana kama sikosei na za kwake zina choo ndani,sijui kama huyo Tahmeed anasogea hapo!
 
Yanazidi bombarder ya JMPiana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…