Kampuni ya Tahmeed yaleta mabasi mfano wa ndege

Haya yamewekewa mechanism ya kutoungua? vinginevyo tuhabarishwe kuwa kuungua mara kadhaa kwa mabasi ya kampuni hii nini kisababishi? Tuwekane sawa kwa hili!!!
 
sibahatishi nisemacho, hata ratco zilikuwepo. ila hakuna za kuanzia mwanzo hadi mwisho hakuna zaidi ya Tahmeed. pia nikukumbushe hatupo hapa kubishana
Mkuu zile Coaster zako pale Ubungo External si unaweza kung'oa zile siti ukaweka kama hizi?
 

Umeshawahi kuona buses za Modern Coast?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…