chambimagaka
JF-Expert Member
- Nov 17, 2017
- 288
- 338
Kampuni ya acacia north Mara gold mine, imetangaza kuwafuta kazi walinzi wa kampuni mama na kukodisha shughul za ulinzi kwa kampuni ya ulinzi ya G4S, kesi imechukua muda mrefu na inaonekana kuna mkono wa MTU!