chambimagaka JF-Expert Member Joined Nov 17, 2017 Posts 288 Reaction score 338 Nov 18, 2017 #1 Kampuni ya acacia north Mara gold mine, imetangaza kuwafuta kazi walinzi wa kampuni mama na kukodisha shughul za ulinzi kwa kampuni ya ulinzi ya G4S, kesi imechukua muda mrefu na inaonekana kuna mkono wa MTU!
Kampuni ya acacia north Mara gold mine, imetangaza kuwafuta kazi walinzi wa kampuni mama na kukodisha shughul za ulinzi kwa kampuni ya ulinzi ya G4S, kesi imechukua muda mrefu na inaonekana kuna mkono wa MTU!
L luhuye JF-Expert Member Joined Mar 20, 2017 Posts 289 Reaction score 250 Nov 18, 2017 #2 kwanu kesi imetolewa maamzi
L luhuye JF-Expert Member Joined Mar 20, 2017 Posts 289 Reaction score 250 Nov 18, 2017 #3 siku wakimtoa huyu meneja wa asei hii kesi itaishia hapo