Mr sule
JF-Expert Member
- Oct 14, 2021
- 606
- 1,110
Habari JF
Nina plan ya kuanzia kampuni ya ujenzi na nimekuja kwenu kuomba ushauri katika hili namna ya ku manage ofisi kama hii.
Malengo yangu ni kuanzisha huduma ya
Ujenzi wa nyumba.
kupaka Rangi.
huduma ya bomba
na Umeme.
Naomba ushauri njia sahihi ya ku manage ofisi hii, namna ya kuajiri, vifaa vinavyotakiwa, mishahara ya wafanyakazi, njia bora ya kujudumia wateja na mambo mengine yanaohusiano na ujenzi tajwa hapo juu.
Katika Plan zangu za kufanya biashara, hii biashara inaweza kunilipa.
NB: uwezo wa kusajili na kununua vifaa ninao, ila sina uzoefu namna sahihi ya kuendesha na vifaa gani vizuri zinahitajika.
Asante