Kampuni ya ulinzi

Kama Pelle

Member
Joined
Jan 26, 2013
Posts
98
Reaction score
13
Wakuu habari zenu? Naomba maelekezo na ushauri juu ya uanzishaji na uendeshaji wa kampuni binafsi ya ulinzi (security guard).
Nahitaji kujifunza juu ya;

  • Taratibu na mahitaji ya usajili wa kampuni (specifically ya ulinzi)
  • Hali ya soko na namna ya kupenya sokoni
  • Makadirio ya vifaa vya lazima kuanzia kazi
  • Makadirio ya gharama za uanzishaji
  • Mengineyo ya muhimu.
Tafadhali sana, na Mungu awanyeshee baraka zake kila mmoja kwa kadiri ya imani yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…