Kampuni ya Ultimate Security inafukuzisha hovyo wafanyakazi wake

amba.nkya

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2010
Posts
446
Reaction score
131
Na Sadick Mtulya

HATIMAYE Pascal Mnaku, mlinzi wa kampuni ya Ultimate Security aliyepambana na Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja, kwenye mashine ya kuchukulia fedha (ATM) jijini Dar es Salaam, amefukuzwa kazi na muajiri wake huyo.

Ni kawaida kwa kampuni ya Ultimate Security kufukuzisha hovyo wafanyakazi wake. Ieleweke kuwa sio huyo tu mlinzi wa ATM aliyefukuzwa kutokana na “Mh” Ngeleja bali kuna wafanyakazi wengi wanafukuzwa hovyo bila kufuata taratibu zinazozingatia sheri za kazi. Kuna malalamiko mengi sana kutoka kwa wafanyakazi wa kamapuni hiyo kuhusiana na kufutwa kazi hovyo….! Inasikitisha zaidi pale wanapojaribu kufuatilia haki zao hawapati msaada kutoka vyombo husika. Kazi kwetu wanaJF tufanyeje kupambana na udharimu huuu…?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…